Michezo

Mfalme wa Gofu Tiger Woods kurejea wiki hii

Mchezaji Gofu maarufu na mwenye mafanikio makubwa raia wa Marekani, Eldrick Tont “Tiger” Woods anatarajiwa kurejea tena katika mchezo huo kupitia michuano itakayofanyika  Bahamas baada ya kuandamwa na majeraha kwa muda mrefu.

Woods mwenye umri wa miaka 41, anajumla ya mataji makubwa ya mchezo wa Gofu 14, huku akiwa ndani ya rekodi ya kuwa namba moja kwa takribani wiki 683 katika tasnia yake.

Woods kushudiwa wiki hii kupitia michuano ya dunia ya mashujaa (Hero World Challenge) itakayo fanyika huko Bahamas.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents