Habari

Mgambo akamatwa kwa kununua Mkanda kwenye mitumba na kufungia filimbi, Aeleza sababu – Video

Mgambo akamatwa kwa kununua Mkanda kwenye mitumba na kufungia filimbi, Aeleza sababu - Video

Mgambo aliyefahamika kwa jina la Rugemalira Sospeter amekamatwa na Askari wa Zimamoto kwa kuvaa mkanda wa begani unaotumiwa na Jeshi hilo Raynyart ambapo yeye aliununua kwenye Soko la Mitumba na kueleza huwa anautumia kwa ajili ya kubebea filimbi yake.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents