Tupo Nawe

Mgombea ubunge jimbo la Arumeru kupitia CCM apita bila kupingwa, Wapinzani wake 10 wakosa sifa

Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Dkt. John Pallangyo amepita bila kupingwa baada ya wagombea wenzake 10 kukosa sifa.

Taarifa ya kupita kwake imetangazwa leom Aprili 19, 2019 na msimamizi wa uchaguzi, Emmanuel Mkongo.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW