Afya

Mgonjwa mwingine wa Corona aongezeka Tanzania, Sasa wafikia 25

Mgonjwa mwingine wa Corona aongezeka Tanzania, Sasa wafikia 25

Verified

“Wizara inathibitisha kuwepo kwa mgonjwa mpya mmoja mwenye maambukizi ya corona DSM, mgonjwa huyo ni Mwanaume (51) Raia wa Tanzania mkazi wa DSM na yupo chini ya uangalizi, hivyo jumla ya Watu 25 wamethibitika kuwa na corona Tanzania tangu kuanza kwa ugonjwa huu“ -Waziri wa Afya Ummy Mwalimu @ummymwalimu 

Akiongea Waziri mwenye dhamana Mh. Ummy Mwalimu amesema kuwa “Mpaka sasa Watu 25 wamethibitika kuwa na corona TZ, kati yao watano wamepona, mmoja amefariki, kuanzia March 24 hadi sasa wasafiri 2181 wamewekwa karantini na kati ya hawa 324 wamemaliza siku 14 za uangalizi, hadi leo asubuhi Watu 789 waliokutana na wagonjwa wanafuatiliwa kwa ukaribu”

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents