Tia Kitu. Pata Vituuz!

Mgonjwa wa kwanza wa Corona Tanzania aomba radhi, aizungumzia hali yake (Video)

Isabella Mwampamba, Mtanzania wa kwanza kugundulika kuwa na Virusi vya Corona hapa nchini, leo amezungumza na Watanzania kwa njia simu kupitia Mkutano wa Waandishi wa habari, na kuwaomba radhi Watanzania kwa kuwa Mtu wa kwanza kuingia na Virusi hivyo hapa nchini.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW