Habari
Mh. Hawa Ghasia, Mtulia, Chengeni waeleza walivyomfahamu Mbunge Maji Marefu (+video)
Baadhi ya Wabunge akiwemo Hawa Ghasia, Maulid Mtulia na Chengeni waeleza walivyomfahamu mbunge wa Korogwe vijijini (CCM), Stephen ngonyani (Prof. Maji Marefu).Tazama Wabunge wakieleza walivyomfahamu Mbunge huyo: