Habari

Mh. Lema atoa siri nzito kuwekwa mahabusu kwa Mh. Mbowe na wenzake (+video)

Mbunge wa Arusha Mjini(CHADEMA), Godbless Lema amezungumza sababu za viongozi wao kukamtwa na kuwekwa rumande, huku akidai kuwa lengo la watuhumiwa hao ni kunyimwa dhamana. Lema amezungumza hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari makao makuu ya Chama hicho yaliyopo Kinondoni jijini Dar es salaam : Tazama video hii Lema akifunguka

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents