Habari

Mh. Mbowe, Sugu kutembelewa na viongozi wakuu Chadema Pasaka (+video)

Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) wamejigawa wengine wataenda mkoani Mbeya kumtembela Sugu gerezani na wengine wataenda Segerea kumtembelea Mwenyekiti wao na viongozi wengine wa Chama hicho.

Akizungumza na waandishi wa habari leo, Mwenyekiti wa Baraza la vijana Chadema (BAVICHA)Taifa, Patric Sosopi amesema kuwa ni haki yao kuwatembelea viongozi hao gerezani.


Mwenyekiti wa Baraza la vijana Chadema (BAVICHA)Taifa, Patric Sosopi akizungumza na waandishi wa habari ambao hawapo pichani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents