Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Mh. Saed Kubenea afunguka kauli ya DC Hapi kumfukuza ofisini (+video)

Mbunge wa Ubungo, Saed kubenea amesema Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi kumufukuza kwenye ofisi yake ya ubunge iliyokuwa katika Manispaa ya Kinondoni amesema jambo la kuwafukuza kwenye ofisi halikufanyika kama anayahitaji hayo majengo ila alifanya kwa kuwakomoa. Kubenea ameyasema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari.

Hivi karibuni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ali Hapi aliwafukuza katika ofisi zao wabunge wote walikuwa wakitumia jengo la mkuu wa wilaya kwa madai kuwa anataka kuzitumia ofisi hizo kwa matumizi ya serikali.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW