Aisee DSTV!
SwahiliFix

Mh. Temba ‘Tuwe wakweli tuache unafiki, hakuna msanii kama Diamond Afrika, ana lebo kubwa ya muziki ana Tv na Redio zake'(+Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye alikuwa miongoni mwa wasanii wanaounda kundi la TMK Waname family lililokuwa chini ya Mkubwa Fella, Mh Temba afunguka mengi kuhusu tamasha la Wasafi Festival ambalo linasimamiwa na msanii mwenzake na CEO wa lebo ya WCB Diamond Platnumz na kusema kuwa nilimwambia Diamond hakuna kama wewe Afrika nzima, maana ana Tv yake, ana Redio yake na pia anamiliki Lebo kubwa muziki nani kama Diamond hapa Afrika.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW