Habari

Mh. Mbowe na wenzake kula Pasaka mahabusu (+video)

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeamuru Viongozi 6 wa CHADEMA akiwemo Freeman Mbowe na wenzake wafikishwe mahakamani tarehe 3, mwaka huu kukamilisha ili kukamilisha masharti ya dhamana.

Tazama video hii baadhi ya viongozi wa Chadema wakizungumza baada ya kutoka chumba cha Mahakama:

Hakimu alieleza kuwa Mahakama inatoa remove order washtakiwa waje Mahakamani April 3 na wadhamini wao ili wakamilishe masharti ya dhamana.

Hapo Awali ilielezwa kuwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake walishindwa kufika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwasababu gari walilopanda limeharibika njiani wakati wakielekea Mahakamani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents