Habari

Mhe. Nape amkumbuka mbunge Dkt Elly Macha ‘tulitoka vyama tofauti lakini ….’

Mbunge wa Jimbo la Mtama, Mhe. Nape Nnauye amemkumbuka aliyekuwa mbunge wa Viti Maalum, Dkt Elly Marko Macha (Chadema) aliefariki dunia katika hospitali ya New Cross nchini Uingereza alipokuwa akipatiwa matibabu.

Nape kupitia ukurasa wake wa twitter ametweet kuwa hata kama walitoka vyama tofauti lakini tuliishi kwa upendo mkubwa Bungeni

Marehemu Mama Macha, tulitoka vyama tofauti lakini waliishi kwa upendo mkubwa Bungeni RIP!

Mbunge Macha alifariki dunia 31, Machi mwaka huu.

Tanzia: Mbunge Dkt Elly Macha afariki dunia

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents