Burudani ya Michezo Live

Mhe Rais naomba kujiunga na JKT (+Video)

Mhe Rais shikamo, naitwa Elia Batom, napata kipato cha chini sana ila nachangia elfu 10, Mhe Rais ombi langu naomba nijiunge na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)

Rais Magufuli amefanya harambee ya kuchangia ujenzi wa shule ya Msingi iliyopo Kijijini Soga ambapo jumla ya TZS Mil.68.5 na mabati 100 yamepatikana, kati ya hizo Rais Magufuli amechangia TZS Mil.5. Ameagiza ujenzi huo ukamilike haraka.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW