DStv Inogilee!

Miaka 50 uhuru ASET kuwarusha UK

Twanga_Pepeta_Katikati_Asha_Baraka_Akiongea_na_waandishi_wa_Habari_Kuhusu_Uzinduzi_na_Ziara_UK

Mkurugenzi Wa Twanga Pepeta Katikati Asha Baraka Akiongea na waandishi wa Habari Kuhusu Uzinduzi na Ziara yao ya Uingereza, baada ya kufanya na Kumaliza uzinduzi wa albamu yao kabambe ya 11 tarehe 6 Novemba 2011.
ASET wakishirikiana na URBAN PULSE CREATIVE Wanatarajia kuwaburudisha wapenzi wa Bendi  Maarufu ya Twanga Pepeta Nchini Uingereza mwishoni mwa Mwezi wa Novemba.

Show Hii Maalum ni kwa ajili ya kuazimisha Miaka 50 ya uhuru wa Tanzania. Tarehe pamoja na maelezo ya Ukumbi yatafuatia mda sio mrefu. Hivyo wadau kaeni mkao wa Kula.

Asanteni,

Urban Pulse Creative.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW