Michael Jackson Afariki

Michael Jackson Afariki
Mfalme wa muziki ya Pop duniani Michael Jackson amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya UCLA baada ya moyo wake kusimama…alikuwa na miaka 50 tu

Hakuna mwanamuziki aliewahi hata kujaribu kuvunja record ya Michael Jackson katika upande wa mauzo na maonesho, katika maisha yake amewagusa watu wengi na nyimbo zake na hamna mtu asiemtambua duniani kote.

Atakumbukwa milele, rest in peace Michael.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents