Habari

Michael Jackson, Bob Marley waweka rekodi ya kuingiza mkwanja mrefu zaidi kwa mwaka 2018

Aliyekuwa msanii nguli wa muziki wa Pop Duniani, Marehemu Michael Jackson ametajwa kuwa ndiye mtu aliyefariki ambaye ameingiza mkwanja mrefu zaidi duniani.

Image result for
Michael Jackson and Bob Marley

Kwa mujibu wa jarida la Forbes, Michael Jackson ameingiza kiasi cha dola milioni $400 ambacho ni sawa na Tsh. Bilioni 919.

Kwenye orodha hiyo ya majina 13 ya watu waliofariki ambao wameingiza mkwanja mrefu kwa mwaka 2018 (The Highest-Paid Dead Celebrities Of 2018), yupo pia Bob Marley, XXXTentacion na Muhammad Ali.

Highest-Paid Dead Celebrities 2018


1. Michael Jackson ($400 Milion)

2. Elvis Presley ($40 million)

3. Arnold Palmer ($35 million)

4. Charles Schulz ($34 million)

5. Bob Marley ($23 million)

6. Dr. Seuss ($16 million)

7. Hugh Hefner ($15 million)

8. Marilyn Monroe ($14 million)

9. Prince ($13 million)

10. John Lennon ($12 million)

11. XXXTentacion ($11 million)

12. Muhammad Ali ($8 million)

13. Bettie Page ($7 million)

Kwa Michael Jackson huu ni mwaka wa sita mfululizo kuongoza orodha hiyo ya watu waliofariki ambao wanaongoza kwa kulipwa duniani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents