Michezo

Michael Schumacher aanza kurejea kwenye fahamu zake

Michael Schumacher anadaiwa kujibu maelekezo ya madaktari walioanza kumrejeshea fahamu zake taratibu.

chi-photos-retired-f1-champ-michael-schumacher-009

Mshindi huyo wa mara saba wa mashindano ya magari ya Formula 1 anadaiwa pia kuchezesha kope zake wakati akifanyiwa vipimo vya ubongo. Schumacher aliumiwa vibaya kichwani baada ya kuanguka na kujigonga kwenye mwamba alipokuwa akiteleza kwenye barafu huko nchini Ufaransa, December 29.

Tangu kipindi hicho, ameendelea kuwa katika hali ya kutojifahamu na amelezwa kwenye hospitali ya chuo kikuu cha Grenoble.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents