Michezo

Michael Wambura achukua fomu TFF

Katibu Mkuu wa zamani wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini  TFF,  Michael wambura amechukua fomu ya kuwania nafasi ya makamu rais.

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa TFF, Michael wambura

Wambura amechukua fomu hizo leo kwenye ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania tayari kuwania hiyo inayoshikiliwa na Warres Karia.
BY HAMZA FUMO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents