Michezo

‘Milango ipo wazi kwa Wilder kukubali kuzipiga na Anthony Joshua’ Promota Eddie Hearn 

Promota maarufu nchini Uingereza, Eddie Hearn amesema kuwa milango bado ipo wazi kwa bondia Deontay Wilder kuridhia kandarasi ya kupamamba na Anthony Joshua huko Wembley Aprili 13 mwaka huu.

Mazungumzo kwaajili ya pambano hilo kati ya Joshua na Wilder yaliingia dorasi wiki hii mara baada ya Chama cha mchezo wa ngumi kuamurua AJ kupambana na Alexander Povetkin ili kuutetea mkanda wake.

Deomtay Wilder aridhia kuzipiga na Anthony Joshua ndani ya Uingereza dau nono latengwa

Bingwa huyo wa dunia wa WBC, king Wilder alionekana kuto kuunga mkono jambo hilo kupitia kwenye mitandao yake ya kijamii akihitaji kupambana na Joshua lakini Hearn amesisitiza kuwa pambano hilo litafanyika baada ya pigano dhidi ya Povetkin kupita mwezi Septemba.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents