Mitindo

Millen Magese anyakua tuzo ya Global Ambassador Award

Miss Tanzania 2001 Millen Magese ameibuka shujaa kwa kupewa tuzo ya Global Ambassador Award na kampuni ya habari ya Face2face Africa ya nchini Marekani baada ya kushare maisha magumu anayopitia kupitia ugonjwa Endometriosis ambao umekuwa ukimsumbua kwa zaidi ya miaka 25.

Mrembo huyo July 13, 2018 alijifungua mtoto wake wa kwanza aitwaye Prince Kairo.

Kitendo hicho kimeonekana cha kijasiri kutokana wanawake wengi ambao wanasumbuliwa na ugonjwa huo hupoteza uwezo wa kupata mtoto kutokana na maumivu makali anayoyapata wakati wa kupata hedhi.

Usiku wa kuamkia leo mrembo huyo amekishukuru chombo hicho cha habari chenye makazi yake nchini Marekani kwa kutambua mchango wake kwa jamii.

Magese aliandika, “My Symbol of Hope๐Ÿ™๐Ÿ™ . First speech with my son in my hands….. what a beautiful moment ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™Thank you @face2faceafrica for honoring me with a Global Ambassador Award. To me and us Endometriosis/Infertility community,itโ€™s not just a trophy ….. it is another platform where we can share our true stories and raise awareness about our journey on reproductive health .Endometriosis and Infertility is real. If it affects us as women it affects our families,our life and people around us. #SPEAKOUT #manyfacesofendo๐Ÿ’› #millenmagese๐Ÿ’›๐Ÿ‘‘โญ๏ธ”

Related Articles

3 Comments

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents