Millen na Flaviana wako juu!!

Millen na Flaviana wako juu!!
Mamodo wakibongo Millen Magesa na Flaviana Matata wanazidi kushine na kujulikana huko bondeni aka Afrika Kusini

Inasemekana Flaviana ameongeza mkataba mpya wa miaka miwili ya umodo huko Joburg wakati Millen amekula shavu New York na kupata mkataba mnono wa miaka mitatu huko kuanzia julai 1 2009.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents