Mimi Mars: Hata sijawahi kukaa karibu na Diamond (+video)

Msanii wa muziki Bongo, Mimi Mirs amesema hajui zinapotoka skendo kuwa amewahi ku-date na Diamond pamoja na Joh Makini.

Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na ngoma ‘Papara’ ameiambia Bongo5 kuwa mwenyewe anatafuta chimbuko la stori hizo.

Soma Pia; Mimi Mars aeleza ukweli wa kutoka kimapenzi na Diamond

“Sijui, sijawahi kuwapa sababu ya kufikiria hivyo, sana sana mtu kama Diamond sijawahi kukaa naye hata karibu hivi hapa na hapa, hata sikujua hata kwanini hiyo stori ilikuja kuzuka,” amesema Mimi Mars.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW