BurudaniLady Jay Dee

Mimi ni mimi kuingia kwenye The Best of Lady Jay Dee

Jay_dee_mtukuzi
Mwanamuziki mkongwe wa muziki hapa nchini Judith Wambura ‘Jide’ ameshakamilisha wimbo wake wa Mimi ni mimi na Oliver Mtukuzi wa Zimbabwe. Mume na meneja wa mwanamuziki huyo Gadner G Habash  amesema nyimbo hiyo imefanywa chini ya mkono wa Producer  Man Water.


Ameongeza kwa kusema nyimbo hiyo imetungwa na Jide mwenyewe, huku ikiimbwa kwa lugha tatu tofauti  ikiwemo Kiswahili , Kiengeleza na Kishona. Amesema nyimbo hiyo itakuwemo kwenye albamu ya Jide itakayozinduliwa Novemba ya The best of  Lady Jay Dee.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents