Burudani

Miriam Ntakisivya kurudi tena kwenye mitindo kutangaza vazi la Kigoma

Miriam Ntakisivya ambaye ni designer, video vixen ameamua kurudi tena kwenye mitindo baada ya kujikita zaidi kwenye siasa kwa muda mrefu.


           Miriam Ntakisivya (kulia) akiwa na Miss Kigoma 2018

Mrembo huyo ambaye pia kwa sasa ni mwakilishi UWT kutokea UVCCM Mkoa wa Kigoma, anaingia kwa mara nyingine kwenye mitindo kupitia tamasha ambalo litaonyesha vazi la asili la mkoa wa Kigoma ambalo linaitwa Mpuzu.

Tamasha hilo linatarajiwa kuwa kutanisha Miss Kigoma 2017, Miss University 2018, Prisca dastan ambaye alifanikiwa kutinga kwenye 10 bora ya Miss university 2017 pamoja na models wengine wanaofanya vizuri Bongo.

Tamasha hilo ambalo limeandaliwa na kampuni ya Diamond Group na litafanyika kwenye ukumbi wa Lake Tanganyika Hotel siku ya tarehe April 28 ya mwaka huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents