Burudani

Miriam Odemba ni mja mzito??!!

 

Inasemekana kwamba Supermodel wa kibongo Miriam Odemba ni mja mzito, kwa mujibu wa chazo chetu cha habari mrembo huyu aliyewahi kushikilia taji la Miss Earth Air mwaka 2008 amechumbiwa na mfaransa Laurent Piedmonte.

Mpaka sasa hatujathibitisha ukweli wa habari hizo ila kama ni kweli tunamtakia kila la kheri na uja uzito wake.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents