Burudani
Miss Arusha City Center
Zahra Selemani amejinyakulia taji la Miss Arusha City Center 2010 katika shindano lililofanyika jijini Arusha mwishoni mwa wiki iliopita katika hoteli ya Naura Springs.
Mshindi wa pili Glady Mollel (wa kwanza kulia) aliyeweza kujinyakulia taji la kuwa Balozi wa hoteli ya Naura Springs ya jijini Arusha pamoja na mshindi wa tatu, Bertha Dennis (kushoto) aliyejinyakulia taji la kuwa Miss Arusha City Center Talent.