Burudani

Miss Dar City Center lilivyofanyika

Miss_dar_City_center_face
Miss Dar City Center akiwa na miss ambaye amemaliza wakati wake, wakati wa tamasha hilo ambalo Alexia William alishinda taji hilo, ambalo liligombaniwa na warembo 18, kutoka katika kitongoji cha Dar es salaam.

 


Miss_Dar_5_bora

 

Hawa ndiyo waliosogea katika tano bora za Miss Dar City Center mwaka 2011 na 2012 (Majina angalia ukurasa mwingine)

Miss_dar_aliyepita

Hapa Miss Dar City Center aliyepita wakati akiwapungia mkono mashabiki wake wakati wa kuwaaga katika kiti hicho alidumu nacho toka mwaka 2010 na 2011

Miss_dar_Mc

Ma -Mc wa Miss Dar, hapa akiwa Mirad Ayo wa Clouse Fm.

Miss_dar_Meya

Meya wa Almashauli ya Manispaa ya Ilala Mh Jerry Slaa akimkabidhi zawadi, mrembo Marvin Nkeze ambaye aliingia katika tano bora za Miss Dar.

Miss_Dar_mpiga_picha

Nasisi wakina nanii pia tulikuwepo, si unajua hamna kazi bila ya waandishi kuwepo, lazima tupige picha na nyinyi pia mpata kuona hivyo ni muhimu kuheshim kazi kama hii.

Miss_dar_Warembo_Tabata
Warembo wa Tabata, na wao walikuwepo kuwaunga mkono warembo wenzao ambapo pia anahitajika kupatikana mshindi kati yao, ambaye atakuja kupambana na wengine na ndiye aingie katika kinyanyiro cha kuwania miss Tanzania mwaka 2011 na 2012, kwa hiyo hapa walikuwa wakiiba maujuzi.

Miss_dar__wa_12

Hapa ndiyo waliokuwa wakichuana kati ya Alexia William (4) na kwanza na wa pili wakisubiliwa kutajwa, yaani

Miss_da_na_fetty

Hapa tayari mshindi ameshajulikana Alexia William akiwa na Fetty mtayarishaji wa shindano.

Miss__dar_Tunda

Upande wa Buludani uletwa na Twanga Pepeta na Tip Top Conection wakiwa na Dogo Janja, lakini hapa tunamtizama zaidi Tunda Man aliyeamua kujikita zaidi kwa kucheza na warembo wa Tabata.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents