Burudani

Miss Dar Intercollege 2010

Rose John kutoka chuo cha Ustawi wa Jamii ndiye mshindi wa Miss Dar Intercollege 2010, mshindi wa pili ni Cassiana Milinga kutoka chuo cha biashara CBE (kulia) na mshindi wa tatu ni Marylidya Boniface nae kutoka chuo cha Ustawi wa Jamii.

Miss Dar Intercollege 2010 ilifanyika jana usiku katika ukumbi wa starehe ya Club Bilicanas wakati Barnaba na Amin waliangusha burudani ya kutosha kwa wadau.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents