Burudani

MISS HIGHER LEARNING 2010 YAIVA!!

Lile shindano la Kumsaka mrembo wa elimu ya juu kwa mwaka 2010 ( Miss
higher learning) sasa limefikia ukingoni ambapo warembo kumi na mbili kutoka vyuo vya IFM, USTAWI, CBE na UDOM watatoana jasho kuwania taji hilo.

Mchuano huo wa aina yake utafanyika kesho Alhamisi ya tarehe 23 katika viwanja vya bunge Karimjee jijini Dar-Es-Salaam.

 

Waratibu wa Shindano hilo kampuni ya Bongo5 kupitia Mtandao wao wanawakaribisha
wadau pamoja na wapenzi wa sanaa ya urembo katika shoo ya ukweli itakayopambwa na burudani ya
wasanii Ngwea, Quick Rocka na Suma lee,pamoja na kushuhudia mabinti wakali na wanaojiamini wakionyeshwa mbwembwe zao.

Shindano hili linaletwa kwenu kwa udhamini wa Redds Premium Cold, Vodacom, Asia Idarous,
Mustafa Hassanali couture, Vayle spring na Clouds FM

Kiingilio ni 5000 Tsh tu!

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents