Miss IFM apatikana

Miss IFM apatikana
Beatrice Lukindo ndio kinara wa Miss IFM 2009, pamoja na kuvishwa taji hilo alizawadiwa
kitita cha laki tano wakati mshindi wa pili Ester Gau alipata laki mbili na mshindi wa tatu Veronica Vick amevuta
kitita cha laki mbili.

Shindano hili limefanyika Ijumaa tarehe 15 ndani ya ukumbi wa New Msasani Club, Kinondoni jijini Dar.

Mgeni rasmi katika shindano hili alikuwa Naibu Meya wa jiji la Dar es Salaam Mh. Ahmed Mwilima. Ma-MC katika mchakato mzima wa kumsaka mlimbwende wa IFM 2009 walikuwa Masoud
Kipanya pamoja na Frolence ambaye anashikilia taji la miss kigamboni
2008/9.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents