Tia Kitu. Pata Vituuz!

Miss Kenya, Shamim Nabil akanusha kudate na Mr. Nice

Hivi karibuni mitandao ya nchini Kenya iliandika tetesi kuwa huenda Miss Kenya wa sasa, Shamim Nabil anadate na Mr. Nice aliyehamia nchini humo na kwamba walionekana na paparazzi wakila bata pamoja.

shamim11

Kutokana na tetesi hizo, Shamim ameamua kuzungumza na kukanusha kuwa kamwe hawezi kuwa mpenzi wa Nice Mkenda.

thumb.php

Amesema amekuwa akimfahamu staa huyo tangu akiwa mdogo na Nice si mwanaume wa aina yake.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW