Miss Kigamboni 2009

Miss Kigamboni 2009
Vodacom Miss Kigamboni 2009 amepatikana Jumamosi iliopita, Karen Lukule
ameibuka mshindi na washindi wenzake ni Irene Christopher (kushoto)
ambaye alishika nafasi ya pili na Samirah Kapunda aliyeshika nafasi ya
tatu.

Miss Kigamboni 2009 Top 5
Shindano hilo liliandaliwa na Bongo5 Media Group na lilifanyika katika ukumbi wa Meese Beach Resort Kigamboni, majaji  walikuwa Ben Kisaka (jaji mkuu), Miss kigamboni 2008 Lona Swai, Joketi Mwegelo ambaye alikuwa Miss Temeke 2007 na mdau Pinto kutoka Miss Tanzania UK.

Kwa upande wa burudani walianza na Barnabas & Pipi, akifuatia Maunda Zorro na kumalizia mtu mzima Marlaw.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents