Tia Kitu. Pata Vituuz!

Miss Mexico Venessa Ponce atwaa taji la Miss World 2018, Miss Uganda atwaa Miss World Africa (Video)

Mashindano ya Miss World yamemalizika huko China kwa mrembo kutoka nchini, Mexico Venessa Ponce De Leon kutwaa taji la Miss World 2018.

Hapo awali taji hilo lilikuwa linashikiliwa na mrembo kutoka India, Manushi Chhillar’s.

Akiongea muda mchache baada ya taji hilo, alisema anashukuru kuwa mwakilishi wa warembo wote walioshiriki kwa kuwa kila mmoja alistahili ushindi huyo

“I can’t believe it, I really can’t believe it… And I think all the girls deserved it. I am proud to represent all of them. I will do as much as I can in the time I have got. Thank you so much, everyone,” Vanessa said backstage after winning the crown at the Sanya City Arena in Sanya, China.

Hatika hatua nyingine Miss Uganda,  yatamba na kuibuka Miss World Africa baada ya kuingia top 5 ya Miss World.

https://youtu.be/d237B7mDCog

Top 5 continental winners ni
Mexico – Americas
Thailand – Asia/Occenia
Uganda – Africa
Jamaica – Caribbean
Belarus – Europrle

Katika top 30 nchi nyingine za Kiafrika zilizoingia ni Nigeria, Mauritius, S.Africa na Uganda ambayo imefika hadi top 5.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW