Burudani

Miss Progress International arejea

Miss Progress International 2010 Juliet William amewasilini nchini leo akitokea nchini Italia alikokuwa akishiriki shindano la urembo na maswala ya utalii.

Juliet alifika mchana mida ya saa nane na ndege ya Kenya Airways akitokea nchini Italia alikoshiriki shindano la urembo katika taji hilo na kufanikiwa kutwaa taji hilo la Dunia ambalo ndiyo kwanza limeanzishwa mwaka huu.

Mrembo huyo ametutoa kimasomaso watanzania  akiwa mrembo wa kwanza Tanzania kutwaa taji la dunia.

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents