Miss Schengen 2009
Jumamosi ya tarehe 6 Juni mrembo kutoka Sweden, Leyla Ali, amewazidi wenzake na kutwaa taji la Miss Tanzania Schengen 2009 ndani ya mji wa Essen (Ujerumani).
Shindano hilo limeshirikisha warembo wa kitanznaia kutoka nchi za Shengen barani Ulaya zikiwemo Norway, Uholanzi, Ujerumani na Ufaransa.