Burudani

Miss Tabora apatikana

miss_Tabora
Miss  Tbora apatikana, Kutoka kulia ni Dalilah Gharib second runner up katikati Miss Tabora 2011/12 Florah Michael na Maua Kimambo first runner up. Mshindi wa kwanza wapili na watatu walikuwa na sifa, 1.Florah Michael ni mwanafunzi wa SAUT tawi la Tabora mwaka wa kwanza.

 

miss_tabora2

2. Maua Kimambo ni mwanafunzi wa Mussoma utalli college Tabora mwaka wa kwanza
3.Dalilah Gharib ni mwanafunzi UHAZILI Tabora mwaka wa pili

zawadi kwa mshindi wa kwanza ilikuwa Dell Laptop ya sh kaki 7 na elimu yenye thamani ya laki tatu Musoma Utalii college. jumla 1m

zawadi kwa mshindi wa pili Dell computer ya sh laki sita na elimu ya laki mbili Musoma utalii college Tabora.

Zawadi kwa mshindi wa tatu Subwoofer na dvd player vya laki 250. Na elimu ya sh laki moja Musoma utalii college.

washindi watatu hao watuwakilisha mkoa wa Tabora katika shindano la kanda mnamo tarehe 24/06/2011 mjini Dodoma ambalo litajumuisha mikoa ya Dodoma, Kigoma, Singida na Tabora, washindi watatu wa kanda ndio wataenda Miss Tanzania.

Miss Tabora ilifanyika New Royal garden mnamo tarehe 27/05/2011 burudani iliporomoshwa na Amin, steve rnb, Hmbizo, Nash D, na Bekah.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents