Miss Tanga City ni Rachel Mlaki

Miss Tanga City ni Rachel Mlaki
Ijumaa usiku Rachel Mlaki alifanikiwa kujinyakulia taji la Miss Tanga City Center 2009, mashindano hayo yalifanyika kwenye ukumbi wa Swimming Club maeneo ya Raskazoni jijini Tanga

MC alikuwa Antonio Nugas kutoka Clods FM na burudani tosha ilimwagwa na Hemed kutoka Tusker Project Fame pamoja na mtu mzima Cassim.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents