Burudani

Miss Tanzania 2010, Genevieve aachia ngoma yake ‘Nana’ ni fireeee

Muongeze Genevieve Emmanuel kwenye orodha ya wasanii wa kuwaangalia mwaka huu. Miss Tanzania huyo wa mwaka 2010, ameachia ngoma yake iitwayo Nana na uwezo wake katika uimbaji utakushangaza… Ngoma imetayarishwa na Luffa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents