Habari

Miss Tanzania EU 2009

Miss Tanzania EU 2009
Mashindano ya kumsaka waakilishi kutoka nchi za Jumuiya ya
Ulaya (Shengen) yanaendelea na sasa form za kujiunga zinapatikana kwa
kupitia www.misstanzania.eu

Mashindano yatafanyika jijini Essen, Ujerumani na washindi watatu wa mwanzo watawikilisha nchi za Shengen huko Uingereza katika fainali ya Miss Tanzania Europe mwishoni mwa mwezi Juni.

Mshindi wa Miss Tanzania Europe atapata nafasi ya kushiriki katika Miss Tanzania 2009 hapa bongo.

Kwa habari zaidi tuma email kwa [email protected] ama piga simu +49 174 45656 44.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents