Burudani

Miss Universe 2015 Pia Alonzo awaomba mashabiki waache chuki, amsifia Miss Colombia aliyenyang’anywa taji

Baada ya sintofahamu kuhusu kilichotokea kwenye shindano la Miss Universe 2015, mshindi wa taji hilo kwa mwaka huu Miss Philippines – Pia Alonzo Wurtzbach amefunguka kupitia Facebook kuwashukuru watu mbalimbali akiwemo Miss Colombia ambaye alitangazwa mshindi kwa dakika chache kabla ya kuvuliwa taji na kubaki kuwa mshindi wa pili.

PIA
Mrembo PIA

PIA pia amewaomba mashabiki kuacha kubishana kuhusu kile kilichotokea na kuacha kutumiana ujumbe wa chuki na kuwaambia kuwa lengo la shindano hilo ni kuwaunganisha wanawake kutoka sehemu mbalimbali duniani hivyo wasiharibu lengo hilo.

Ujumbe wa Pia unakuja wiki moja baada ya Miss Colombia- Arianda Guiterrez naye kutoa ya moyoni kuhusu kilichotokea.

Pia aliandika ujumbe huu mrefu siku ya Krismasi December 25:

“Wow. Words can’t describe how grateful I am for this. It was quite a journey getting here with 3 attempts at winning Miss Philippines. Now, I finally got the best Christmas gift ever – and not just for me, for my country. I’d like to say thank you to everyone who believed in my potential and those who supported me from the beginning. To everyone who voted for me, especially to my fellow countrymen, thank you. Maraming salamat po sa inyong lahat. To Ariadna, you are an amazing woman and we are now bonded together forever by a unique experience. In the last 3 weeks we were together, I saw how strong and beautiful you are inside and out. You represented your country with honor and I know how proud everyone must be of you. Fate has a plan for you, and I’m excited to see what’s ahead. And to all the fans who are still fighting about this…Please let’s all stop now. The Miss Universe Organization is about uniting empowered women from all over the world. Arguing and sending hateful messages to each other defeats the whole purpose. You believe in the message of Miss Universe and so do I. Again, thank you for the love. I’m excited to begin my duties as Miss Universe and I wish everyone, all the contestants and all the supporters a great holiday with their loved ones. Happy Holidays and let’s look forward to a great start to the new year!#MissUniverse – Pia”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents