Habari

Miss World Africa atoka Botswana

Katika shindano la aina yake lililofanyika katika mji wa Sanya, nchini China, warembo mia moja arobaini walichuana kuwania taji la mrembo wa dunia kwa 2010 kwa mara ya 60 tangu kuanzishwa kwa mashindano hayo.

 

Usiku wa tarehe 30, Oktoba katika ukumbi wa Beauty crown theatre ndipo mashindano hayo yalijiri mbele ya watazamaji duniani kote.

Baada ya mchujo wa kwanza, nchi 25 zilitajwa kufanikiwa kuingia kwenye fainali, ambazo ni;

PARAGUAY,ST LUCIA,NETHERLANDS,CANADA,FRANCE,BAHAMAS,COLOMBIA,RUSSIA,THAILAND,SOUTH AFRICA,MONGOLIA,FRENCH POLYNESIA,SCOTLAND,VENEZUELA,NAMIBIA,ITALY,UNITED STATES,GERMANY,CHINA PR,BOTSWANA

Usiku ulivyoiva, mrembo wa kutoka Marekani, Alexnder Mills,ndiye aliibuka mshindi huku wa pili akitokea Bostwana, Miss Emma Wareus na mrembo wa tatu akitokea Venezuela, Miss Adriana Vasini.

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:”Table Normal”; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-priority:99; mso-style-qformat:yes; mso-style-parent:””; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:11.0pt; font-family:”Calibri”,”sans-serif”; mso-ascii-font-family:Calibri; mso-ascii-theme-font:minor-latin; mso-fareast-font-family:”Times New Roman”; mso-fareast-theme-font:minor-fareast; mso-hansi-font-family:Calibri; mso-hansi-theme-font:minor-latin; mso-bidi-font-family:”Times New Roman”; mso-bidi-theme-font:minor-bidi;}

Mrembo wa Bostwana ndiye ameibuka Miss World Africa kwa mwaka huu, taji ambalo liliwahi kushikiliwa na mrembo wa Tanzania mwaka 2005 na bibie Nancy Sumari.

Mrembo wa Tanzania Genevive Mpangala alishiriki shindano hilo lakini ameambulia patupu.

Bongo5 inatoa Kudos kwa Emma Wareus.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents