Michezo

‘Misumari 11’ ya Simba SC itakayovaana na Mbao FC yatangazwa

Klabu ya Simba imetangaza kikosi chake cha wachezaji 11 watakaovaana na klabu ya Mbao FC, kwenye mchezo wa Ligi kuu leo jioni saa 10:00, kunako dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza.

Kikosi hicho ambacho kitaongozwa na goli kipa, Aishi Manula huku Luizio, Ndemla, Mkude, Mbonde, Mseja na Niyonzima wakianzia benchi.

Tazama kikosi kamili cha Simba na Mbao FC.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents