Mitindo

Mitindo House Wafungua Rasmi Miradi Yao

Taasisi ya isiyo ya kiserikali ambayo ipo chini ya wabunifu wakiongozwa na Khadija mwanamboka Tanzania Mitindo House jana walizindua rasmi miradi yao katika sherehe iliyofanyika katika viwanja vya makao makuu ya taasisi hiyo.

Akizungumza katika sherehe ya uzinduzi wa sughuli za kituo hicho mkurugenzi wa taasisi hiyo bibie Khadija Mwanamboka alisema eneo hilo litaanza rasmi kutumika kwa shuli za mauzo za nguo za wabunifu mbali mbali ambao ni wanachama wa taasisi hiyo.

Akiendelea na maelezo yake bibie Khadija alisema kituo hicho pia kitakuwa kinafundisha watoto yatima kushona na kudarizi pamoja na kubuni. Akimalizia Khadija alisema watoto wa kawaida ambao si watoto yatima watapata huduma hiyo kwa malipo kidogo.

Bongo5 inampa pongezi bibie Khadija na wenzake wote wa Tanzania Mitindo House kwa mpango huo.

Chini ni picha za yaliyojiri

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents