Usiku wa jana, mastaa mbali mbali waliweza kutokea katika usiku wa tuzo za MTV Movie & TV Awards zilizofanyika katika ukumbi wa Shrine Auditorium uliopo mjini Los Angeles.
Hizi ni baadhi ya picha:
Allison Williams,Hailee Steinfeld na Gal Gadot
Jourdan Dunn, Cara Delevingne naJasmine Tookes.
Jennifer Lopez na Jillian Rose
Zenday
Yaya Shahid
Shay Mitchell, Kat Graham, na Taraji P Henson.
Paris Michael Jackson
Tracee Ellis Rose
Na Laila Sued