Shinda na SIM Account

Mitindo: Muonekano wa kilemba cha Gele

Gele ni kilemba kinachofungwa sana kwa miaka takribani mitatu mpaka sasa kimekuwa kikitumiwa na watu wengi, na kwenye shughuli tofauti. Pia Kilemba hiki kinahitaji kitambaa chenye mapana sita ili kupata muonekano bomba.

Uzuri wa kilemba cha Gele hutoa taswira kwa mfungaji kuwa ni mwenye furaha na kujiamini zaidi. Kilemba hiki hupendeza zaidi mtu akivalia na nguo ya stara kama gauni ndefu ama sketi.

Hawa ndio mastaa wabongo waliojaribu kufunga Gele..

Na Laila Sued

 

 

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW