Mitindo

Mitindo Nite Yafanyika Washington DC Juzi Usiku


Hi guys usiku wa kuamkia jana kule nchini Marekani katika jiji la Washington DC, kuliandaliwa tafrija maalum ya mitindo ambayo ilipewa jina la Mitindo Nite.
Tumebahatika kupata picha za shoo hiyo ambayo pia ilihudhuriwa na mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania Flaviana Matata. Angalia mwenyewe ilikuwaje. Pictures courtesy of DMK.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents