Mitindo

Mitindo: Trend mpya ya Gingham

Gingham ni kitambaa kilicho tengenezwa kwa kuwa kizito huku muonekano wake ukiwa wa vyumba vyumba na chenye rangi mbili tofauti.

Kitambaa cha Gingham kinaweza kutengeneza sketi, magauni, Jumpsuit na hata mapambo. Kwa sasa kampuni ya Zara inayohusika na mitindo imezitengeneza Gingham Sketi huku zikiuzwa kuanzia £25.99. Kwa sasa Kitambaa cha Gingham ndicho kitambaa bora kutokana na material yake kwani ukuitumia kitamba hichi kutengeneza nguo, basi jua nguo hiyo ipo katika ubora na pia inatrend

Hivi ndio unavyoweza kupamba na sketi Gingham na ukapendeza.

 

Basi hivyo ndio unavyoweza utokelezea na kitambaa cha Gingham na ukapendeza kwa kushona mishono tofauti tofauti.

Na Laila Sued

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents