Michezo

Mji wa Singida wazizima, mapokezi ya Simba ni kufuru (+Video)

Mabingwa wapya wa ligi kuu soka Tanzania Bara Simba SC wametua mkoani Singida hii leo siku ya Ijumaa na kupokelewa kwa kishindo na mashabiki wao tayari kuwakabili Singida United.

Mashabiki wa wekundu hao wa Msimbazi wamejitokeza kwa wingi kwenye barabara na kuipasapoti timu yao wakiwa tayari ndiyo mabingwa wapya baada ya hapo jana Yanga kukubali kipigo cha mabao 2 – 0 kutoka kwa TZ Prisons.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents