Burudani ya Michezo Live

Mjukuu wa Mbaraka Mwinshehe, Marissa aachia mpya ‘Simama’ (Audio)

Marissa ni Mjukuu wa nguli wa muziki, marehemu Mbaraka Mwinshehe ambaye na yeye anakipaji kikubwa sana cha kuimba, ameachia wimbo ‘Simama’ ambao unazungumzia maisha yake. Audio ya wimbo huo imeandaliwa na producer Aloneym na umeandikwa na Chap Kontawa.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW