Michezo

Mkazi wa Arusha ajishindia TVS King kutoka SportPesa

Mkazi wa Arusha Ismail Abdallah  Jumapili hii ameibuka na TVS King kutoka Kampuni ya Michezo ya kubashiri, Sportpesa baada ya kujiunga na kubashiri mechi mbalimbili kupitia kampuni hiyo.

Ismail Abdallah

Mshindi huyo ni mshindi wa 13 toka promotion hiyo ya aina yake ambayo inataratia kutoa bajaj 100 ianze.

Ismail Abdallah amesema amejishindia bajaj hiyo baada ya kujiunga na SportPesa na kuanzia kubashiri.

Bwana Ismail amewataka watanzania kuchangamkia nafasi hiyo kwa kujiunga na SportPesa kupitia tovuti ya www.sportpesa.co.tz au kwa kupiga *150*87#

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents